iqna

IQNA

TURABI FARD
Watetezi wa Palestina
IQNA- Khatibu wa muda wa Sala ya Ijumaa ya leo hapa mjini Tehran amesema Operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa na muqawama au wanamapambano wa Kiislamu wa Wapalestina wa Gaza vimefichua kuwepo nidhamumifumo na miundo kadhaa ya kisiasa duniani, sambamba na kuonyesha kuwepo stratejia mpya ya kambi ya muqawama katika eneo.
Habari ID: 3478038    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/15

Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
TEHRAN (IQNA)- Imam wa Sala ya Ijumaa wa ya Tehran amesema kwamba wananchi wa Iran walichukua hatua madhubuti na kubwa kuelekea katika kuliwezesha zaidi taifa katika maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds, na ametoa shukrani zake kwa ushiriki mkubwa wa wananchi katika maandamano ya siku hiyo ya kuwaunga mkono mapambano ya ukombozi ya Wapalestina.
Habari ID: 3476927    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/28

Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema, kuifanya sekta ya ulinzi ya makombora itegemee kikamilifu uwezo na utaalamu wa ndani kumeipa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nguvu za kumhofisha adui asiweze kuanzisha mashambulio.
Habari ID: 3476071    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/11

Khatibu wa Sala ya Ijumaa
TEHRAN (IQNA)- Imamu wa muda wa Sala ya Ijumaa ya Tehran amesema, kwa muda wote walipokuwa wakishikiliwa mateka, mateka wa kivita wa Iran walizigeuza kambi za Kibaathi madrasa za mafunzo na mafundisho ya Ashura.
Habari ID: 3475645    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/19